Saturday, May 3, 2014

FUATILIA HAPA LIVEEEE TUZO ZA KILIMANJARO MLIMANI CITY MDA HUUU

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Kwa wewe ambaye utakuwa mbali na TV yako tunakuletea moja kwa moja usiku wa tuzo katika simu au kompyuta yako. Fuatilia kupitia www.kililager.com/KTMA / http://www.dj-sek.blogspot.com/2014/05/fuatilia-hapa-liveeee-tuzo-za.html#.U2UKVqKjL64 kuanzia saa moja jioni wakati Jokate na Millard Ayo wakiwahoji mastaa wanaoingia katika Red Carpet na baadae ikifuatiwa na mahojiano na wale washindi pia zoezi zima la utoaji tuzo.
 PIA KWA WENYE SMART PHONES TUMIA LINK HIZO HAPO
Kupata app ya KTMA kwenye simu Bofya moja ya yafuatayo kuenda kwenye App store ya simu yako iPhone - http://bit.ly/1i4FND6 Android - http://bit.ly/1lKMdbJ BlackBerry - http://bit.ly/1moEFhQ Download na Kuinstall MyeventApp kisha ubofye Kilimanjaro Tanzania Music Award 2014 #KTMA2014

No comments:

Post a Comment