Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakitengeneza
vizuri bango lao kwa ajili ya kushiriki kikamilifu katika maadhimisho ya
Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika jana katika uwaja wa Uhuru
jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakiwa tayari na
wakijiandaa kuungana na wafanyakazi wenzao kwenye maandamano ya
kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliyofanyika jana katika uwanja
wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu wakipita mbele ya Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete (hayupo
pichani) wakati wa kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika
jana katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam.
( PICHA ZOTE NA
VERONICA KAZIMOTO)
No comments:
Post a Comment