Friday, July 4, 2014

RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA SRI LANKA,POLAND MA ROMANIA.

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Sri Lanka nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya,  Dkt Velupilai Kananathan kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana


Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na Balozi wa Sri Lanka nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Dkt Velupilai Kananathan  baada ya kupokea hati yake ya utambulisho  kwenye sherehe  fupi  zzilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa  Poland nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Marek Zial Kowski  kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernand Membe Balozi wa  Poland nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Marek Zial Kowski  kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na Balozi wa  Poland nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Marek Zial Kowski baada ya kupokea hati yake ya utambulisho  kwenye sherehe  fupi  zzilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea hati ya utambulisho toka kwa balozi wa Romania nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe Julia Pataki kwenye sherehe fupi zilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akiongea na Balozi wa  Romania nchini Tanzania mwenye makazi yake jijini Nairobi, Kenya, Mhe.  Julia Pataki baada ya kupokea hati yake ya utambulisho  kwenye sherehe  fupi  zzilizofanyika Ikulu jijini Dar es salaam jana

No comments:

Post a Comment