Wednesday, May 6, 2015

DC WA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZUNGUMZIA MAAFIKIANO YALIYOFIKIWA KUMALIZA MGOMO WA MADEREVA NCHINI‏

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Paul Makonda akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maafikiano hayo.


Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo mchana, kuhusu muafaka uliofikiwa kufuatia mgomo wa madereva  uliofanyika ofisi ya waziri mkuu kwa kuwashirikisha wadau mbalimbali.
Wanahabari wakisubiri kuchukua taarifa hiyo.

 

No comments:

Post a Comment