Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiwa pamoja na Mama Maria Nyerere na Mama Fatma Karume (wa nne kutoka kushoto) pamoja na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Asha-Rose Migiro wamesimama mbele ya jeneza wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa Marehemu John Nyerere iliyofanyika Msasani tarehe 11.5.2015. Mwili wa Marehemu John unatarajiwa kusafirishwa tarehe 12.5 kwenda Butiama kwa mazishi.
Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Mama Maria Nyerere mara baada ya shughuli
ya kuaga mwili wa Marehemu John Nyerere huko Msasani. Marehemu John anatarajiwa
kuzikwa jumatano tarehe 13.5.2015 katika kijiji cha Butiama, Mkoani Mara.
PICHA NA JOHN LUKUWI
No comments:
Post a Comment