Wednesday, August 26, 2015

KAKA WA GONDWE KUWAGWA KUNDUCHI KESHO, DAR

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.


Marehemu Geofrey Boardington Gondwe 
Ndg.Robert Gondwe wa Dar es Salaam, anasikitika kutangaza kifo cha kaka yake Geofrey Boardington Gondwe kilichotokea jana(25.08.2015).Ataangwa kesho(27.08.2015) kwake Kunduchi saa 6 mchana na Mazishi yatafanyika makaburi ya kinondoni saa kumi jioni.

No comments:

Post a Comment