Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Tume
ya Taifa ya uchaguzi inakutana na Kamati Maalumu inayo undwa na wajumbe
kutoka vyama nane vilivyo na wagombea wa urais na makamo kuandaa Ratiba
ya mikutano ya hadhara kurahisisha kubaini vyama vilivyopanga mkutano
mmoja katika mkoa mmoja, wilaya moja, na Eneo moja kwa Tarehe
moja,Mkurugenzi wa NEC Kailima Ramadhani amesema anafarijika sana na
ushirikiano wanaouonyesha Wawakilishi Wa vyama katika kuhakikisha
mchakato kuwa wa Amani na utulivu bila kujali itikadi za vyama vyao
kikao kitaendelea kutwa nzima ya leo hadi kufikia makubaliano ya Ratiba
kwa vyama vyote.

No comments:
Post a Comment