Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mwanamitindo Flaviana Matata na Deogratius Massawe baada ya kufunga pingu za maisha juzi.
Massawe akimbusu mkewe.
Mwanamitindo Flaviana Matata akiwa katika pozi na mumewe Deogratius Massawe.
MWANAMITINDO Flaviana Matata alifunga ndoa na Deogratius Massawe katika Kanisa la St. Joseph lililopo jijini Dar.
Picha kwa hisani ya Mjengwa blog
No comments:
Post a Comment