Tuesday, August 25, 2015

TUKIO KATIKA PICHA: LOWASA TANDALE SOKONI LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Mgombea Urais wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha demoktrasia na Maendeleo Chadema, Edward Lowassa akinywa uji wa ulezi hii leo asubuhi alipotembelea soko la Tandale jijini Dar es Salaam. 
Lowassa akizungumza na wafanya biashara wa soko la Tandale.

No comments:

Post a Comment