Tuesday, March 22, 2016

DIGITAL PASTOR

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

lufDigital Pastor ni filamu kali ya Kitanzania ambayo itakua mtaani nchi nzima kuanzia Tar. 7 mwezi Machi jumatatu , ni DIGITAL PASTOR haijawahi tokea sanamu kuongea mti kuongea yote hayo yamo kwenye DIGITAL PASTOR imetengenezwa na kampuni ya kutengeneza filamu ya Lufedha Film Co humo wamo washiriki kama Beni Branco. mchekeshaji maarufu Senga. Salehe Lufedha. Modesti Bafite. nawengine wengi filamu hiyo ya DIGITAL PASTOR.

No comments:

Post a Comment