Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Baadhi
ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau wengine wa
habari wakijadiliana juu ya changamoto anuai zilizojitokeza katika
Uchaguzi Mkuu wa 2015 na namna ya kuzikabili changamoto hizo. Mjadala
huo ulioandaliwa na taasisi ya Internews ulifanyika Ofisi za Internews
jijini Dar es Salaam juzi.

Mmoja wa wadau wa habari na mwanasheria (katikati) akifafanua jambo kwa washiriki wa mjadala huo.
Wenceslaus Mushi kutoka Internews (wa kwanza kulia) akiwakaribisha washiriki wa mjadala huo kabla ya kuanza majadiliano.
Baadhi
ya wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari pamoja na wadau wengine wa
habari wakijadiliana juu ya changamoto anuai zilizojitokeza katika
Uchaguzi Mkuu wa 2015 na namna ya kuzikabili changamoto hizo. Mjadala
huo ulioandaliwa na taasisi ya Internews ulifanyika Ofisi za Internews
jijini Dar es Salaam juzi.
Mmoja
wa wahariri (kulia) akichangia jambo wakati wa mjadala wa wahariri na
wadau wa habari juu ya changamoto anuai zilizojitokeza katika Uchaguzi
Mkuu wa 2015 na namna ya kuzikabili.
No comments:
Post a Comment