Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Mwakilishi
Mkazi wa Shirika la Kimataifa la Kuhudumia watoto (UNICEF) Bi. Maniza
Zaman akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison
Mwakyembe alipomtembelea ofisini kwake mapema leo (14/3/2016) jijini Dar
Es Salaam.
Waziri
wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe akisisitiza jambo
wakati akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Kimataifa la
Kuhudumia Watoto (UNICEF) Bi. Maniza Zaman alipomtembelea ofisini kwake
leo (14/3/2016) jijini Dar Es Salaam.
No comments:
Post a Comment