Friday, July 29, 2016

MPIGA CHAPA WA SERIKALI AONESHA RANGI SAHIHI ZINAZOTAKIWA KUTUMIKA KATIKA BENDERA YA TAIFA



Mpiga Chapa Mkuu wa Serikali Bw. Kassian Chibogoyo (kulia) akionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani)  rangi sahihi zinazotakiwa kutumika katika bendera ya Taifa wakati akielezea umuhimu wa wananchi kutumia vielelezo sahihi vya Taifa na kuachana na vile vya kughushi, kulia ni Afisa Habari toka Idara ya Habari (Maelezo) Bw. Frank Shija.

No comments:

Post a Comment