Wizara ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge na Watu wenye Ulemavu kuhamia Dodoma wiki ijayo
Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu, Sera, Uratibu, Bunge, Kazi,Ajira, Vijana na Watu wenye
Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (Kushoto) akiongea leo jijini Dar es
Salaam na Watendaji Wakuu na Watumishi wa Wizara na Taasisi zilizo chini
ya Ofisi ya Waziri Mkuu kuhusu utekelezaji wa kuhamia Dodoma, Kulia ni
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye Ulemavu), Dr.
Abdallah Possi.
No comments:
Post a Comment