Treni
ya Kampuni ya Reli (TRL) katika Stesheni ya Dar es Salaam kwenda Pugu
huduma ambayo imeanza kutolewa leo. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
KHAMISI KUSSA;
TRENI
ambayo imeanza kutoa huduma zake kwa safari ya kuanzia Stesheni ya Dar
es Salaam hadi pugu, imeanza kutolewa leo katika stesheni hiyo
ambayo itakuwa ikitoa huduma kwa mara 3kwa asubuhi na mida ya jioni
mara 3 ambayo itaongeza kasi ya uchumi kwa wakazi wa maeneo ya pugu hasa
wakiwemo wachuuzi.
mbalimbali
ambao hasa na wachuuzi wa mboga ambao walikua wakitegemea mabasi ya
Abiria (Daladala) hayo yalisemwa na chanzo chetu cha habari likicho
dokeza , ambapo wengine hufika Ferry kwa majira ya Asubuhi na kuchukua
mboga katika Soko la Kimataifa la Samaki Ferry na kuchukua usafiri wa
Bajaji na kuwahi usafiri wa treni kwa muda unao uhitaji.
wengine kufika pugu inakua ni rahisi kutokana na usafiri huo utakua wa
haraka tofauti na mabasi, wengine mboga zao huharibika, na chanzo
hicho kiliendelea kusema, kwanza anatoa pongezi kwa Rais Magufuli kwa
kuteuwa watu makini wanao endana na kasi ya Rais Magufuli.
meneja
huyu ambaye jinalake silifaham, naona mwanzo wake anafanya vizuri
zaidi na kumuomba aongeze kasi na kuondoa changamoto iliyopo katika
usafiri hapa jijini Dar es Salaam kutokana na foleni aweze kuongeza
mabehewa na aongeze vituo,
chanzo
chetu kiliweza kwenda mbali zaidi na kusema, kutokana na aina ya vitu
ambavyo TRL wamependekeza hakika wanastaili pongezi na waweze
kukumbukwa watu wa wanao ishi maeneo ya kuanzia Kipawa, Jet Lumo,
Karakata na Mjimpya chini
hivyo
chanzo chetu kilitoa ushauri na maombi kwa Uongozi uweze kusaidia
kuwepo vituo hivyo katikati ya Vingunguti, kiembembuzi na Airport ili
kuwaguasa wakazi hao waishio maeneo hayo, kama wameamua kuweka usafiri
huo niwazi wananchi wengi watajitokeza kufanya biashara kwa wakati
tofauti ya mabasi
ambapo
kutwa nzima unakuwa katika usafiri na foleni ya jiji hili, ninaimani
kubwa wakitekeleza hayo niwazi wananchi watakuwa na ari ya
kuishughulisha kwa lengo la kujipatia kipato na kujikimu kimaisha na
ukilinganisha na kauli ya Hapa kazi
Wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakigombania kuingia katika mabehewa baada ya kuanzishwa usafiri huo
Wanafunzi
wa Shule Mbalimbali wakiwa ndani ya mabehewa ya Treni ya Kampuni ya
Reli (TRL) katika Stesheni ya Dar es Salaam kwenda Pugu huduma ambayo
imeanza kutolewa .
Askari
wa kike ambae jina lake halikuweza kupatikana maramoja, akidandia
behewa huku Treni ikiwa imeanza mwendokatika kituo ya Buguruni
No comments:
Post a Comment