Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua ( kulia) akiongoza
kikao kilichokutanisha wadau wa maendeleo na Wizara ya Nishati katika
Ofisi za Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam tarehe 06 Aprili, 2017.
Sehemu
ya washiriki wa kikao hicho wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa
yanatolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua
(hayupo pichani)
Wataalam
wa Idara ya Nishati, wakifuatilia maelekezo yaliyokuwa yanatolewa na
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Dkt. Hamisi Mwinyimvua (hayupo
pichani)
No comments:
Post a Comment