Saturday, March 31, 2012

Ile Elfu Hamsini na Tano ya Wema yakataliwa na Diamond amwaga Chozi ukumbini Live.


 Marafiki wa Wema Sepetu wakijaribu kumbembeleza wakati akimwaga chozi... huku watu wengine wakishangilia na kuimba aibu yetu au aibu yao???
 ...hapa mwanadada akijaribu kubembeleza bila matumaini.
 Msanii wa kizazi kipya, Ommy Dimpozzz akimpa sapoti Diamond...huku akitoa ushuhuda wa maisha yake na    ya Diamond walipotoka.
 ...baada ya ujumbe wa Ommy Dimpozz, Diamond alimwaga chozi na hapa 
 alikuwa akijifuta. Picha zaidi ingia http://kajunason.blogspot.com/


Kutazama show ilivyo kuwa bofya hapa chini
SHOW YA DIAMOND

No comments:

Post a Comment