Sikiliza Tone Radio Live Hapa, na Tembelea Website yetu www.toneradiotz.com
Home » » Diamond Afunika Mlimani city usiku wa jana,azitolea nje hela za wema sepetu,ukumbi walipukwa kwa mayowe.

Diamond Afunika Mlimani city usiku wa jana,azitolea nje hela za wema sepetu,ukumbi walipukwa kwa mayowe.





















 Mtu mzima Dj Choka Akihojiwa jana wakati wa show hiyo funika ya Diamond


 Diamond, Mama mzazi wa Diamond & Queen Darling
Anaitwa Esi yeye alikuwa akishughulika na usafi wa Diamond na kuonekana kwa steji kweli kamweka sawa raisi wa Wasafi
Walikuwepo pia
Diamond alikuwa bize na kuimba huku Wema akiendelea kumbembeleza kumtunza

Baada ya Diamond kukataa kupokea pesa hizo Wema alikasirika na kuzitupa pesa kisha kurudi kukaa


Video ambayo Diamond aligoma Kupokea Pesa za Wema


Kwa picha zaidi ingia hapa




0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa