Home » » Miss Ukonga ndani ya Kiota Jungle!!

Miss Ukonga ndani ya Kiota Jungle!!


 Warembo wanaoshiriki kndano la Miss Ukonga 2012 wakiwa katika pozi ndani ya fulanazz zao kutoka kwa mmojani wa shindano hilo KIOTA JUNGLE-"TRULY TANZANIAN COMFORT
 Yani hakikisha hukosi show hii May 5,2012, mambo ya mugongo mugongo ni balaa.
Msanii wa Filamu za Bongo Rich Rich akizungumza na warembo katikia kambi yao ya mazoezi jioni ya leo. Rich Rich na timu yika katika kambi hiajili ya kuangalia warembo watakao shiriki katika moja ya filamu zake pya.
.                  Habari zao zaidi nihttp://www.kiotajungle.com/

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa