Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza katika kikao cha Kutia Saini Mkataba wa Makubaliano (MOU) kati ya Serikali na Kampuni ya Jain Irrigation System Limited ya India, Ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili 5,2012.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishuhudia utiaji saini wa Mkataba wa Makubaliano (MOU) kati ya Serikali na Kampuni ya Jain Irrigation System Limited ya India uliofanyika Ofisini kwake jijini Dar es salaam Aprili 5, 2012.Wakitia saini niWaziri wa Kilimo na Maendeleo, Chakula na Maendeleo ya Ushirika, Profesa Jumnne Maghembe (kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Jain, Bw. Atul Jain.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
0 comments:
Post a Comment