Kocha wa Yanga Kostadin papic akiwa na kocha msaidizi Fredy Filex Minziro 'Baba Isaya' wakifuatilia kwa makini mchezo wa Ligi Kuu kati ya Yanga na Polisi Dodoma uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji wa Yanga, Hamis Kiiza akiruka daruga la kiungo wa Polisi Dodoma, Idd Ramadhani wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga imeshinda 3-1. Picha na Francis Dande wa Globu ya Jamii
Picha kwa Hisani ya Blog ya Issa Michuzi
Picha kwa Hisani ya Blog ya Issa Michuzi
No comments:
Post a Comment