Home » » Mkutano Mkuu wa Simba Sport Club unaendelea Muda huu.

Mkutano Mkuu wa Simba Sport Club unaendelea Muda huu.


 Wanachama wa Club ya Simba wakiwa wanaelekeamkutanoni
 Aliye valia Tshirt nyekundu anaitwa Gadner Dibibi ambaye pia ni kiongozi wa tawi Simba Magomeni


 Wanachama wakiwa wamewasili ukumbini 
Wanachama wote wa Simba wakiwa wamesimama kwa muda kumuombea Marehemu Mafisango 

Picha zote na Mdau wa Tone Media Gadner Dibibi aliyepo eneo la tukio

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa