Ramadhan Chombo Redondo ana mkataba na Azam FC hadi June 30, 2013... Kwa maana hiyo Chombo ni mchezaji halali wa Azam FC na Azam FC haina mpango wa kumuuza isipokuwa kumuongeza mkataba, Simba waangalie wasije wakapoteza pesa zao kama kwenye suala la Jeba.
Chanzo: Dj Sek
1 comments:
Kiherehere chenu cha kumuuza Ngassa Simba ili kumkoma sasa yamewakuta
Post a Comment