Home » » Chama cha Wanawake wanasheria Tanzania(TAWLA)Watoa matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake

Chama cha Wanawake wanasheria Tanzania(TAWLA)Watoa matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake


  Jaji wa
Mahakama Kuu Patricia Fikirini (kulia) akitoa maoni yake jana jijini Dar
es salaam kuhusu mjadala kuhusu matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya
ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia
matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga
ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mstaafu
Eusebia Munuo.
 Mwenyekiti wa
Chama cha Wanawake wanasheria Tanzania (TAWLA) Aisha Bade (kulia) akitoa
ufafanuzi jana mjini Dar es salaam kuhusu matokeo ya utafiti
kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na lengo la
kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga
ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Hakimu Mkazi Wilaya ya Ilala Tarsua
Kesoka.
 Baadhi ya
wadau wakiwa na wanachama wa Chama cha Wanasheria wanawake Tanzania
(TAWLA) wakiwa mkutano jana jijini Dar es salaam ulikuwa unajadili
matokeo ya utafiti kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake.
Mkutano huo ulikuwa na lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika
katika Mkoa wa Dare s salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA.
Mwenyekiti
wa Baraza la Ardhi Wilaya ya Kinondoni Charles Mnzava (kulia)
akichangia mjadala jana jijini Dare s salaam kuhusu matokeo ya utafiti
kuhusu migogoro ya ardhi inawakabili wanawake . Mkutano huo ulikuwa na
lengo la kupatia matokeo ya utafiti ulifanyika katika Mkoa wa Dare s
salaam na Tanga ulifadhiliwa na TAWLA. Kushoto ni Mwenyekiti wa Baraza
la Ardhi wilayani Ilala Raphael David.


Picha zote na Tiganya Vincent- MAELEZO-Dar es salaam

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa