Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) akitoa ufafanuzi juu ya mpango wa kusambaza umeme katika wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpando baada ya kusaini msaada na Balozi wa Uholanzi Dr. Ad Koekkoek (kulia) wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wiaya hizo hasa maeneo ya vijijini
No comments:
Post a Comment