Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini Pereira Silima (kulia) akipokea msaada wa kijamii kutoka kwa Mwakilishi Msaidizi wa kitengo cha kuunganisha watoto kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa ( UNICEF) nchini Paul Edwards (kushoto) leo jijini Dare es Salaam. Msaada huo una vitu mbalimbali kama vyandarua, magodoro, mito, taulo na vifaa vya michezo.venye thamani ya dola za kimarekani 8,972. Kulia ni Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Fidelis Mboya, Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Nchini Pereira Silima, akizungumza machache baada ya kukabidhiwa msaada huo.
Baadhi ya maofisa wa Jeshi la Magereza waliohudhuria Hafla ya makabidhiano ya msaada wa kijamii wa Vifaa mbalimbali kutoka UNICEF kwa watoto waliopo Magereza mawili ya watoto nchini Segerea na Ruanda (Mbeya), Makabidhiano hayo yamefanyika leo jijini Dar es Slaam.
No comments:
Post a Comment