Home » » Katibu Mkuu Wa APRM, Aongea Na Waandishi Wa Habari Jijini Dar

Katibu Mkuu Wa APRM, Aongea Na Waandishi Wa Habari Jijini Dar



Katibu Mtendaji wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora(APRM) Tawi la Tanzania Rehema Twalib (kulia) akiongea na waandishi wa habari jana(leo)  mjini Dar es salaam kuhusu mafunzo ya Maofisa Mipango wa serikali yanayolenga kuwaelimisha jinsi ya kusimamia na kuoanisha utekelezaji wa maoni ya watanzania kuhusu utawala bora. Mafunzo hayo yanaanza kesho tarehe 25 septemba 2012 mjini Dar es salam.Katikati ni Mratibu wa APRM kutoka Makao Makuu Dr. Rachel Mukamunana na kushoto Afisa anayeshughulikia masuala ya APRM na NEPAD kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa UNDP Zemenay Lakew .

Picha na Veronica Kazimoto- MAELEZO- Dar es salaam



0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa