“Leo imekuwa kijana, mwandishi
asiye na hatia Daudi Mwangosi. Una hakika gani kwamba kesho haiwezi kuwa MIMI
au WEWE? Umma unashinda. Hofu yao kuu ni kuamka kwa Watanzania. Mauaji ya raia
wasio na hatia ni hofu ya wazi wazi! Tuungane, tusimame, tusitetereke, tunakaribia
ukombozi!”
Blogzamikoa

0 comments:
Post a Comment