Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Dr. Ad Koekkoek (kulia) wakisaini makubaliano ya msaada kutoka Uholonzi wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpanda jana jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment