Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) na Balozi wa Uholanzi nchini Dr. Ad Koekkoek (kulia) wakisaini makubaliano ya msaada kutoka Uholonzi wa kuipatia Tanzania bilioni 33 za kusambaza umeme katika Wilaya ya Ngara, Biharamulo na Mpanda jana jijini Dar es salaam.
Home »
» TANZANIA NA UHOLANZI ZASAINI MKATABA WA SHILINGI BILIONI 33 WA KUSAMBAZA UMEME.
0 comments:
Post a Comment