Home » » WAREMBO WATAKAOCHUANA KATIKA FAINALI YA MISS TEMEKE 2012 SEPTEMBA 21

WAREMBO WATAKAOCHUANA KATIKA FAINALI YA MISS TEMEKE 2012 SEPTEMBA 21





Jina; Angela Gasper Umri; Miaka 19 Elimu; Kidato cha Nne Kitongoji; Kurasini Anachopendelea; Kuelimisha jamii Matarajio; kuwa mhamasishaji na mjasiliamali kwa wanawake wa kimataifa! Asante.
JINAE: Elizabeth Peter KITONGOJI;   Kurasini UMRI:  Miaka 21 ELIMU;  MWANAFUNZI CHUO Kikuu cha Tumaini Dar es Salaam, akichukua  shahada ya Sheria. MATARAJIO;  Kuwa mwanasheria atakayesimamia pia haki za urembo nchini Tanzania, anaamini ana uwezo wa kujitawala katika kujijengea mipango ya maisha yake ya sasa na ya baadaye akiamini nia yake itavuka daraja la kwenda kwenye mafanikio ya mwanamke mwenye kujitambua. Kwa picha zaidi Bofya Read More
Jina: Catherine Masumbigana Umri: Miaka 21 Kitongoji: Chang'ombe Elimu: Chuo Napendelea: Kusoma majarida mbalimbali, Kuogelea na Kutembelea wasiojiweza na kushiriki nao chochote. (Yatima & Wajane) Matarajio: Kuwa mwanaharakati wa watetea haki za watoto na wanawake duniani. Kwa sasa ni Mfanykazi katika kampuni ya  Minesite Tanzania Ltd iliyopo Masaki, DSM.
Jina: Jesca Haule Umri: Miaka 18 Elimu: Mwanafunzi Chuo cha Ustawi wa Jamii Kitongoji: Changombe Matarajio: Mwanasiasa Anachopendelea: Kuogelea na kusoma vitabu.
Jina; Esther Albert Umri; Miaka 19 Elimu; Kidato cha Nne Kitongoji; Kigamboni Anachopendelea; Kusafiri nchi Mbalimbali Matarajio; Kuwa balozi wa Mazingira.Jina; Elizaberth Boniface Umri; Miaka 19 Elimu; Uandishi wa Habari ngazi ya Cheti nikizungumza vyema Kiingereza, Kiswahili na Kiganda.
Jina;  Miriam Ntakisivya Umri;  Miaka 20 Elimu; Kidato cha Nne Anachopendelea;  Kuimba na Kucheza Matarajio;  kujiendeleza kielimu nakuwashawishi vijana na kina mama wasiwe tegemezi,nitaungana nao kwa kuanzisha miradi mbalimbali nikiwa kama kiongozi wao.Asante.
Jina; Neema Doreen Sylvery Umri; Miaka 20 Elimu; Kidato cha Nne(Laureate International School) Natarajia kujiunga na Chuo cha Xidian University nchini, China kusomea kuchukua shahada ya Uchumi na Biashara za Kimataifa Anachopendelea;  Kucheza soka la Soka, Mpira wa Kikapu,kuogelea, mpira wa wavu wa ufukweni, kusikiliza muziki, kubadilishana mawazo na watu mbalimbali,pia kujifunza kila siku jambo jipya. Matarajio; Kujihusisha na masuala ya kimataifa kama mwanadiplomasia.JINA;   Flaviana Maeda UMRI;  Miaka 22 ELIMU;  Mwanafunzi , Dar es Saalam institute of technology akichukua diploma ya mfumo na teknolojia ya masuala ya Kompyuta(IT). KITONGOJI;  Kurasini ANACHOPENDELEA;  Kucheza na kuimba muziki, michezo ya viwanja vya ndani na vya wazi, kutazama filamu, kufanya mazoezi, kupiga gita na nyakati nyingine kuchat kwenye mtandao. MATARAJIO; Baada ya kumaliza Chuo nitajikita nguvu zangu katika kufanya biashara, nikidhamiria kupata mafanikio makubwa katika hilo, pia kujihusisha kupiga vita unyanyasaji wa kijinsia, ili kufikisha ndoto za watoto katika mafanikio na si kukatishwa tama ya maisha na maisha ya baadaye.JINA;  Agness Goodluck UMRI; Miaka 20 ELIMU; Mwanafunzi Chuo cha Usimamizi wa Fedha(IFM) akichukua Shahada ya Uhasibu KITONGOJI; Kigamboni ANACHOPENDELEA; Kuogelea na kukaa zaidi ufukweni MATARAJIO; Kuwa mwanamindo bora ndani na nje ya nchi.
   Jina;  Zulfa Bundala    Umri;  Miaka 21    Elimu;  Kidato cha Nne,    Kitongoji;  Chang'ombe   Anachopendelea;  Kucheza mpira wa kikapu pamoja   na kubadilishana mawazo na wenzangu.ni mshiriki kutoka,  Matarajio;  Kuwa mtetezi wa haki za watoto na kina mama.JINA; Eda Sylvester UMRI;   Miaka 21 KITONGOJI; KIGAMBONI ELIMU: Mwanafunzi chuo Kikuu cha Dar es Salaam akichukua Shahada ya Sanaa ANACHOPENDELEA:  Kusafiri,  kuangalia filamu na kujifunza yaliyomo ndani Teknohama MATARAJIO;  Kuwa msanii wa Kimataifa na mafanyabiashara mwenye  mafanikio ya juu.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa