Baadhi ya Majeruhi waliojeruhiwa na Majambaji mapema leo katika eneo la Kariakoo,jijini Dar wakiwa kwenye gari la Polisi tayari kwa kupelekwa hospitali kwa Matibabu.kwa mujibu wa Ripota wetu ni kuwa Baadhi ya Majambazi hao wamekamatwa na wapo kwenye kituo cha Polisi Msimbazi Kariakoo.Majambazi hao wameuwa watu wawili kwa risasi.
Home »
» Majambazi walitikisa jiji la Dar leo,waua watu wawili na kujeruhi kadhaa
0 comments:
Post a Comment