MGANGA WA KIENYEJI HUYU HAPA PICHANI, RAJABU ZUBERI(30),MKAZI WA Kerege,Muheza Tanga, akiwa chini ya ulinzi wa wanausalama leo saa mbili asubuhi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, baada kifaa maalum cha upekezi kumnasa mganga huyo akiwa na vifaa hivyo vya uganga ambavyo alikuwa amekuja navyo mahakamani hapo kwaajili ya kufanyia mambo ya kishirikina katika kesi moja inayomkabili
mmoja wa washtakiwa mahakamani hapo. Hongereni sana wanausalama kwa kazi nzuri ya kumnasa mtu huyo kwani mmesaidia kuvuruga azma yake.Picha kwa hisani ya Happy Katabazi
Ujinga mtupuuuu.. Hongera ya nn sasa?! Serikali si husema kila cku kua hawaamini uchawi leo imekuwaje?! Na walivyp wajinga watamueka ndani ... Sasa cjui kwa kosa gani.
ReplyDelete