Home » » DR FENELLA AKUTANA NA UJUMBE WA KILI MARATHON,PIA APOKEA UJUMBE KUTOKA KOREA

DR FENELLA AKUTANA NA UJUMBE WA KILI MARATHON,PIA APOKEA UJUMBE KUTOKA KOREA



Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Executive Solution,Agrey Mareale na Mkurugenzi wa Uhusiano na Jamii wa Kampuni ya TBL,Steven Kilindo walipomtembelea ofisini kwake kwa nia ya mazungumzo ya hapa na pale ambapo walimuomba awe mgeni Rasmi katika mashindano ya Kilimanjaro Marathon yanayotarajiwa kufanyika mjini Moshi tarehe 3/3/2013
Rais wa Kampuni ya Young Poong Ecoenergy kutoka Korea Bwana JaeJong Moon akiteta jambo na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fennela Mukangara walipokutana Ofisini kwa Mheshimiwa Waziri Jijini Dar es Salaam jana (Leo).

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa