Home » » Live!! Breaking Nuuuz!!Sasa hivi Wanafunzi wa Chuo cha IFM waandamana katika Ofisi Wizara ya Ndani! Kamanda Kova awasili kutuliza Vurugu

Live!! Breaking Nuuuz!!Sasa hivi Wanafunzi wa Chuo cha IFM waandamana katika Ofisi Wizara ya Ndani! Kamanda Kova awasili kutuliza Vurugu

Wanafunzi wa Chuo cha IFM wakiwa nje ya Ofisi ya Wizara ya mambo ya nje ambapo ndipo wamefikia kwa Maandamano yao
****
Katika hali isiyo ya kawaida Wanafunzi wa Chuo cha IFM wameandamana mpaka Ofisi ya Wizara ya mambo ya Ndani muda huu, Chanzo cha maandamano Bado hakija fahamika, Mpaka sasa Kamanda Kova ameshafika eneo la Tukio kuongea na wanafunzi hao.
Habari Kamili Tutawaletea Baadae endelea kufuatilia hapa hapa.. Tone Multimedia Live Group Tupo eneo la Tukio.

Picha na Blogs za Mikoa

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa