Home » » UJUMBE KUTOKA JIJI LA MWANZA WATEMBELEA MANISPAA YA ILALA KUJIFUNZA MBINU ZA UKUSANYAJI MAPATO

UJUMBE KUTOKA JIJI LA MWANZA WATEMBELEA MANISPAA YA ILALA KUJIFUNZA MBINU ZA UKUSANYAJI MAPATO



 
Mstaiki meya wa jiji la Mwanza Mhe.Stanslaus Mabula na ujumbe wa kamati yake ya fedha wametembelea halmashauri ya manispaa ya Ilala kwa maagizo ya Mhe.Waziri Mkuu kuja kujionea mbinu za kisasa za kukusanya mapato.
 Mstaiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mhe Jerry Silaa amewakaribisha na kuwaeleza jinsi walivyoweza na wanavyoendelea kukusanya mapato.
 
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Ilala Mhe Jerry Silaa akiueleza ugeni huo kutoka jiji la Mwanza mambo mbalimbali  jinsi walivyoweza na wanavyoendelea kukusanya mapato.
 
Mtahiki Meya wa Ilala  Mhe Jerry Silaa akiwa na ugeni huo kutoka jiji la Mwanza katika kikao kilichozungumzia mbinu za ukusanyaji wa  mapato.

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa