Home » » HILI NDILO BWAWA LILILOPO DAR ES SALAAM , LAKINI MAJI YAKE SI YA CHUMVI!

HILI NDILO BWAWA LILILOPO DAR ES SALAAM , LAKINI MAJI YAKE SI YA CHUMVI!


 Hawa ni Ndege ambao Hushinda katika Bwawa hilo ambalo maji yake hayakauki na wakazi wengi wa Eneo hilo la Kibamba wanalitumia.
 Huu ndio mwonekano wa Bwawa Hilo ambalo maji yake hayakauki na hayana chumvi

 Baadhi ya Mimea Ambayo ipo pembezoni mwa Bwawa hilo
 Bwawa hili Limezungukwa na Majani Mengi ambapo lenyewe lipo kati kati
 Haya ni maua ya asili ambayo yanamekua pembezoni mwa Bwawa hilo
Hivi ndivyo yanavyo onekana maji haya masafi na salama, na ambayo yanatumiwa na wakazi wengi eneo la kibamba

1 comments:

isac john bususu said...

So natural so beautiful..mamba vip hakuna?...

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa