Mratibu
wa taasisi ya Shikamana Brittany Karima Cesarini( kulia ) akiwakabidhi
vipeperushi vyenye ujumbe wa tuungane kutokomeza unyanyasaji Mozes
Festo wa shule ya sekondari ya Mbezi Beach na Husna Methew wa shule ya
sekondari ya Jitegemee, wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutoa alimu ya
kutokomeza unyanyasaji kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari
jijini Dar es Salaam, ufunguzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Theater 1
wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Mratibu
wa taasisi ya Shikamana Brittany Karima Cesarini( kushoto )
akiwahutubia wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Dar es Salaam,
wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutoa alimu ya kutokomeza unyanyasaji
kwa wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari jijini Dar es Salaam,
ufunguzi huo ulifanyika katika ukumbi wa Theater 1 wa Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam. Wa pili kushoto ni Mhadhili wa chuo Kikuu cha Dar es
Salaam, Vicensia Shule ,Wakili wa kujitegemea Laetitia Petro na mjumbe
wa Shikamana Ansia Albert
Baadhi
ya wanafunzi wa shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam, wakiwa na
vitabu vilivyo andikwa Hali Halisi ya Kijinsia Nchini Tanzania wakati
wa uzinduzi wa utoaji wa elimu kwa shule za sekondari juu ya unyanyaaji
wa kijinsia ikiwa ni pamoja na utoaji wa elimu ya utoaji wa mahusiano
ya mazuri ya kimapenzi kwa vijana .Shikamana wamedhamilia kuleta
mabadiliko juu ya utoaji wa elimu kwa jamii ili kupambana na aina zote
za unyanyasaji na udhalilishaji wa kijinsia.
0 comments:
Post a Comment