Monday, February 11, 2013

UHARIBIFU WA MAZINGIRA: BAADHI YA VIJANA KIBAMBA WANAHARIBU MAZINGIRA KWA KUCHIMBA MCHANGA NDANI YA MTO, NA KUUHARIBU VIBAYA.

 Hivi Ndivyo unavyo onekana Mto huu ambao umesha Haribiwa kabisa na wachimbaji hao
 Hapa ni moja ya sehemu ambapo wameharibu vibaya na kusababisha mto huo usiwe na kazi tena

Sasa mmomonyoko wa Udongo umeanza kuja kwa kasi , ni Baada ya vijana hao kuharibu vibaya eneo hilo

 Maji yanapotea
 Magari hayo hushukia hapa ili kuchukua mchanga huo
Hiki ni kipande cha mto kilicho katika ambacho sasa imebaki ni maji bila kufuata mkondo
Hapa ndipo vijana hao wanajificha wakingoja Gari la mchanga lifike ili wakachimbe


No comments:

Post a Comment