Hapa maji yanaonekana yakiwa Mbali sana Kabla hayajarudi mwanzoni
Huu Ni uchafu uliopita kiasi ambapo watu bado wanakuja kwa wingi kuogelea eneo hilo hilo
Watu wengi sana hujaa eneo hili Hapa hasa siku za Jumamosi na Jumapili na kuoga kwa Raha zote bila kujua kuwa hivi ndivyo palivyo
Haya Ni majani ambayo yamesombwa kutoka ndani ya Bahari na kuletwa nchi kavu
Baadhi ya watu wanajua kuwa wameumwa na mduddu kumbe wanakuwa wamekanyaga uchafu
Ndege wakiwa wanaonekana wanakula chakula asubuhi katika ufukwe wa Bahari
No comments:
Post a Comment