Home » » Usiyo yajua: Hivi Ndivyo uchafu wa ufukwe wa Bahari unavyo onekana na uchafu mwingi pindi maji yanapo sogea Mbele, na Bado yakirudi watu wanaogerea hapo hapo.

Usiyo yajua: Hivi Ndivyo uchafu wa ufukwe wa Bahari unavyo onekana na uchafu mwingi pindi maji yanapo sogea Mbele, na Bado yakirudi watu wanaogerea hapo hapo.

 Hapa maji yanaonekana yakiwa Mbali sana Kabla hayajarudi mwanzoni
 Huu Ni uchafu uliopita kiasi ambapo watu bado wanakuja kwa wingi kuogelea eneo hilo hilo
 Watu wengi sana hujaa eneo hili Hapa hasa siku za Jumamosi na Jumapili na kuoga kwa Raha zote bila kujua kuwa hivi ndivyo palivyo
 Haya Ni majani ambayo yamesombwa kutoka ndani ya Bahari na kuletwa nchi kavu
 Baadhi ya watu wanajua kuwa wameumwa na mduddu kumbe  wanakuwa wamekanyaga uchafu
 Ndege wakiwa wanaonekana wanakula chakula asubuhi katika ufukwe wa Bahari




0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa