FREEMAN MBOWE.
http://www.freemedia.co.tz
HATIMAYE Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA) kimekubali kusitisha maandamano yake yaliyokuwa yafanyike leo katika
majiji manne ya Dar es Salaam, Arusha, Mbeya na Mwanza, kuwashinikiza Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk.

Shukuru Kawambwa na Naibu wake, Philipo Mulugo
kuachia ngazi.
kuachia ngazi.
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Mkuu wa Jeshi
la Polisi nchini (IGP), Said Mwema akiwa pamoja na Kamishina wa Oparesheni (CP)
Paul Chagonja, Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleimani Kova na
maofisa wengine kukutana na viongozi wa CHADEMA chini ya Mwenyekiti, Freeman
Mbowe.

CHADEMA iliwapa viongozi hao wiki mbili tangu
Februari 18 mwaka huu, kuachia ngazi kama sehemu ya uwajibikaji kutokana na
matokeo mabaya vinginevyo wangefanya maandamano makubwa leo kuwashinikiza
wang’oke.

Hata hivyo, juzi serikali ilitangaza
kuyasitisha maandamano hayo ikidai inatoa nafasi kwa wananchi waweze kumpokea
Rais wa China, Xi Jinping ambaye alianza ziara ya siku mbili nchini, jambo
ambalo CHADEMA walilipinga na kusisitiza kuandamana.

Jana viongozi hao wa polisi na siasa
walilazimika kukutana na kuzungumza kwa kirefu na Mbowe hatimaye kufikia
muafaka kwa CHADEMA kukubali kusogeza maandamano yao hadi hapo baadaye.

Sababu nyingine iliyokataliwa na CHADEMA ni
ile ya kwamba Tume ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda inayochunguza kiini cha
matokeo mabaya ya kidato cha nne 2012 inaendelea na kazi yake, wakidai kuwa
tume hiyo haishughulikii suala la Waziri wa Elimu na naibu wake kujiuzulu.

Katika mazungumzo hayo, Mbowe aliongozana na
Katibu wa Baraza la Vijana Taifa (BAVICHA), Deogratius Munishi na Ofisa habari
wa chama, Tumaini Makene ambapo walikubaliana na jeshi hilo kusitisha
maandamano hayo ili kutoa nafasi ya wananchi kushiriki kwa amani na utulivu
katika mapokezi ya Rais wa China.

“Mbowe na IGP Mwema wamekubaliana kufanya
kikao cha pamoja ndani ya siku 14 ili kuona utaratibu mzuri utakaoweka namna
nzuri ya kuwasiliana na kushirikiana pasipo migongano kwa pande zote mbili.

Februari 18, mwaka huu, akiwa mjini Mwanza
wakati wa uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Magharibi katika viwanja vya Furahisha,
Mbowe alisema Kawambwa na Mulugo pamoja na katibu mkuu wa wizara hiyo,
wameshindwa kuiongoza sekta hiyo muhimu, ndiyo maana kwa sasa wanafunzi
wanaishia kuandika matusi na kupata sifuri katika mitihani ya kumaliza kidato
cha nne.

Alisema waziri huyo lazima ajiuzulu nafasi
hiyo, kwani taifa ameliingiza pabaya na kuanza kuzalisha maelfu ya watoto wa
maskini kumaliza elimu zao za msingi na sekondari wakiwa hawajui kusoma na
kuandika.

Katika matokeo hayo, Kawambwa alisema
watahiniwa wote kwa ujumla waliosajiliwa walikuwa 480,036 kati yao wasichana
217,583 sawa na asilimia 45.33 na wavulana 262,453 sawa na asilimia 54.67
lakini waliofanya mtihani huo ni 456,137 sawa na asilimia 95.44, wengine 21,820
(asilimia 4.55) hawakufanya mtihani.

Katika matokeo hayo wanafunzi waliopata
daraja la kwanza ni 1,641, la pili 6,453, la tatu 15,426, la nne 103,327 na
daraja sifuri 240,903.

Chanzo: Juma Mtanda Blog
No comments:
Post a Comment