Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha waziri
Mkuu wa Finland Jyrki Katainen katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam
leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Waziri
Mkuu wa
Finland Jyrki Katainen wakipokea heshima katika jukwaa
wakati wa mapokezi rasmi yaliyofanyika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam
leo asubuhi.
Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen akiikwetkagua
gwaride la heshima liliandaliwa na jeshi la wananchi wa Tanzania wakati wa
mapokezi rasmi yaliyofanyika katika viwanja vya ikulu jijini Dar es Salaam leo
asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete
akimuongoza mgeni wake Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen kukagua ngoma za
utamaduni katika viwanja vya ikulu.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake
Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen wakikutana kwa faragha ikulu jijini Dar
es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza ujumbe wa
Tanzania katika mazungumzo rasmi na mgeni wake Waziri mkuu wa Finland Jyrki
Katainen ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mgeni wake
Waziri Mkuu wa Finland Jyrki Katainen mara baada ya kufanya mazungumzo rasmi
ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.Waziri Mkuu huyo yupo nchini Tanzania
kwa ziara ya siku mbili(picha na Freddy Maro)









0 comments:
Post a Comment