Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.






Wakati mchakato wa kumtafuta miss wa chuo cha usimamizi wa fedhaukiendelea ikiwa leo ndio siku anayo patikana mlimbwende huyo atakaye nyakua taji la kuwa mlimbwende wa (IFM) jijini dar es salaam
Huu ndio ukumbi unao andaliwa kwaajiri ya kutumika katika kumchagua miss IFM mwaka 2014 maandalizi ni mazuri katika ukumbi wa JB BELMONT HOTEL
0 comments:
Post a Comment