Home »
» WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGA MKUTANO WA KUHUSU KUWALINDA TEMBO AFRIKA
WAZIRI MKUU,MIZENGO PINDA AFUNGA MKUTANO WA KUHUSU KUWALINDA TEMBO AFRIKA
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Kiongozi wa Shirika la Maendeleo la wa Mataifa (UNDP Adminostrator) na Waziri Mkuu wa zamani wa Newzealand, Helen Clark wakati alipofungua mkutano kuhusu Tembo barani Afrika (The African Elephant Conference) kwenye hoteli ya Hyatt Regency mjini Dar es salaam May 10, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).