Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399
Gari yenye namba za usajili T 959 BSS iliyosababisha ajali hiyo na Bajaj
Bajaj ikiwa imejikunja baada ya kugongwa na gari hiyo
Gari ikiwa imeharibika vibaya
Ajali mbaya imetokea mda
huu maeneo ya mbezi beach karibu na Girrafe Hotel ambapo Gari ndogo
imegonga bajaj iliyokuwa na watu wawili ndani na inasemekana mtu mmoja
amefariki dunia,na pia kuna majeruhi hali zao ni mbaya wanakimbizwa
hospitali.Tutakuletea Taarifa kamili
No comments:
Post a Comment