JUST IN: LIVE MUDA HUU GARI DOGO LATUMBUKIA MTARONI NJIAPANDA YA NERUKA MTONI KIJICHI.
Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
Eneo la Neruka mtoni kijichi kumetokea na ajali mida hii baada ya gari dogo kuingia mtaroni kama inavyo onekana pichani. Chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika mpaka sasa.. tupo eneo la tukio tutawapa taarifa zaidi.
No comments:
Post a Comment