Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na makomandoo wa Jeshi la
Wananchi wa Tanzania ambao ni sehemu ya maonesho katika banda la JWTZ
kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba
alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana
kutokamilika kutokana na muda. Makomandoo hao wanashinda wamesimama
hivyo kutwa nzima bila kutikisika wala kupepesa macho na kuwa kivutio
cha aina yake.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi toka kwa Bi.Jacqueline
M. Maleko ateuliuwa kuwa mkurugenzi mkuu wa TANTRADE alipomaliza
kutembelea maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba
alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana
kutokamilika kutokana na muda. Makomandoo hao wanashinda wamesimama
hivyo kutwa nzima bila kutikisika wala kupepesa macho na kuwa kivutio
cha aina yake.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi katika picha ya pamoja na
viongozi na wafanyakazi katika banda la JWTZ alipomaliza kutembelea
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea
tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana
na muda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipozi na vija na wa skauti
alipomaliza kutembelea maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama
SabaSaba alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya
jana kutokamilika kutokana na muda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watoto alipotembelea
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba kwa mara ya pili
leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na
muda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la PPF kwenye
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea
tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana
na muda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la PPF kwenye
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea
tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana
na muda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la PPF kwenye
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea
tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana
na muda.
Rais Jakaya Kikwete akiangalia samani kwenye banda la JKT kwenye

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea
tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana
na muda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TTCL kwenye
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea
tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana
na muda.
Rais Jakaya Kikwete akiangalia samani kwenye banda la JKT kwenye
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea
tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana
na muda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na watoto alipotembelea
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba kwa mara ya pili
leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana na
muda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la TRA kwenye
maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba alipotembelea
tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana kutokamilika kutokana
na muda

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa kwenye banda la Chuo Kikuu cha
Ardhi kwenye maonesho ya kimataifa ya biashara maarufu kama SabaSaba
alipotembelea tena leo Juai 6, 2014 baada ya ziara yake ya jana
kutokamilika kutokana na muda. Ardhi university ndio washindi wa jumla
wa mwaka huu.

Picha na Ikulu
0 comments:
Post a Comment