Home » » JUST IN: : KUNDI LINGINE LA WATANZANIA 40 WALIOKUWA WAKIISHI NCHINI YEMEN WAREJESHWA NYUMBANI LEO

JUST IN: : KUNDI LINGINE LA WATANZANIA 40 WALIOKUWA WAKIISHI NCHINI YEMEN WAREJESHWA NYUMBANI LEO

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 

Awamu ya tatu ya Kundi la Watanzania waliokuwa wakiishi nchini Yemen, wameendelea kurudishwa nyumbani kutokana na mapigano yanayoendele nchini humo. Watanzania 40 ambao walikimbilia nchini Oman kutokea Yemen, wamefanikiwa kusafirishwa leo chini ya usimamizi wa Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mh. Ali Ahmed Saleh.
Balozi wa Tanzania nchini Oman, Mh. Ali Ahmed Saleh akizungumza na Baadhi ya watanzania waliokuwa wakiishi nchini Yemen, ambao wako safarini hivi sasa kurudishwa nyumbani baada ya mapigano yanaoendelea nchini humo.

KWA HISANI YA MICHUZI BLOG

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa