Home » » FLAVIANA MATATA AONGOZA MAMIA YA WANAMITINDO WA BONGO KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF

FLAVIANA MATATA AONGOZA MAMIA YA WANAMITINDO WA BONGO KUJIUNGA NA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
 Balozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Flaviana Matata, akifurahia jambo, wakati akizungumza kwenye semina ya siku moja iliyoan daliwa na Mfuko huo kwa kushirikiana naye, maalum kwa wanamitindo na wabunifu mavazi na kufanhyika kwenye hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, Jumapili Mei.
Afisa Masoko wa PSPF, Magira Werema, akitoa maelezo ya kina kuhusu faida na huduma zitolewazo na Mfuko wa Pensheni wa PSPF
Wanamitindo, wakiwa wamejipanga kwenye foleni huku wakiwa na fomu zao za kujiunga na Uanachama wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, kupitia mpango wa hiari, (PSS), tayari kupigwa picha za kuwa wanachama rasmi.
 Afisa Uhusiano Mwandamizi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Abdul Njaidi, (kulia), akizungumza jambo na Afisa Uhusiano wa Mfuko huo, Colleta Mnyamani, (katikati) na Afisa Masoko Magira Werema
 Wanamitindo wakiwa kwwenye semina hiyo ya mfuko wa Pensheni wa PSPF
 Mabalozi wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Mrisho Mpoto(kulia) na Flaviana Matata, wakijadiliana jambo huku Mbunifu na Mwanamitindo mwingine nguli hapa nchini, Zuli Remtula, kushoto, akishuhudia

0 comments:

 
Supported byBlogs za Mikoa
Copyright © 2012. Dar es salaam Yetu - All Rights Reserved
Designed by Blogs za Mikoa
Proudly powered by Blogs za Mikoa